A

A

HAWA NDIO MAVIDEO QUEEN HATARI SANA KWA AFRIKA MASHARIKI, CHEKI PICHA HAPA

Agnes Jerald / Masogange (Tanzania)Tunaweza kusema huyu anaweza kuwa ndio vera sidika wa kibongo , japokua ni video moja iliyomtoa ambayo ni video ya belle 9 iitwayo masogange..Cynthia Masasi (Tanzania)Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani. Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani. Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross, Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young JocVera-sidika-www-vibe-co-tzVera Sidika (Kenya)Nadhani kila mtu atakua ameiona video ya you guy waliofanya P-UNIT , video iliyokua na utata mkubwa hadi kusababisha kufungiwa huko nchini kenya na mmoja wa model katika video hiyo ni Vera sidika.Sharleen Chelangat (Kenya)Huyu ni mwanafunzi kutoka Daystar University nchini Kenya. Video iliyomtambulisha ni ya Give it to Me aliyoifanya MilitarySwaggTeam akimshirikisha Kanja na Bigsoul.Jack Cliff (Tanzania)Hakuna mtu ambae hadi sasa hajawahi kuona video ya nataka kulewa ya diamond platnumz, basi kama ulikua haujuwi jack cliff ndio alipamba video hii. pia yupo kwenye video mpya la linex kimugina.Risper-Faith-Copyright-www-vibe-co-tzRisper Faith (Kenya)Huyu naye ni video vixen mwingine anayekuja kwa kasi sana nchini kenya. Anajulikana sana kwa jina la Lady Rispah na video yake latest kuwa featured ni ya Octopizzo inayoitwa Nini. Hii ndio professional video yake ya kwanza kutokea kwa mwanafunzi huyu wa Mount Kenya Unniverist