| Anaitwa
Siwema akiwa na Mchumba wake aliyemvisha pete ya uchumbwa kwenye
sherehe kubwa sana Ijumaa iliyopita Kempisk Hotel na kushuhudiwa na
ndugu wa pande zote mbili tena mamen amemnunulia Lexus ambayo sasa
anaonekana akipiga picha na Ney wa Mitego kama vile ni lake kumbe ni la
huyu mamen na kwamba eti sasa ana mimba ya Ney wa Mitego something is
not right hapo nani mkweli na nani ni muongo? Siwema pia ni mfanyakazi
wa Precision Air Mwanza. |