A

A

Breaking Newz,Azam Waibomoa tena Yanga,Wasajili Mchezaji Mwingine Mchana huu "Domayo"

Taarifa Zilizotufikia Mchana huu ni Kwamba Mchezaji Kinda wa Dar Young Africa "YANGA" Frank Domayo amesaini Mkataba wa Kuichezea Azam msimu Ujao(Haijajulikana ni Mkataba wa Miaka Mingapi).Ikumbukwe Jana Azam walifanikiwa Kumsajili Mchezaji wa Yanga wa Kimataifa kavumbangu kwa Mkataba wa Miaka 2.
Taarifa zaidi Kukujia hivi Punde