BREAKIN NEWZZZ:- MWANAMUZIKI MAARUFU WA HABARI YA MUJINI SKYLIGHT BAND AFARIKI DUNIA!!
Rest in Peace Chili Challa tulikupenda lakini Mungu amekupenda zaidi ni ngumu bado kuamini nimeishiwa nguvu jamaniSkylight Bandtz
na fans kwa ujumla tutakumiss mno......!