Msafara wa Katibu Mkuu CCM Taifa Ukielekea Kata ya Nzihi kwaajili ya Kufunga Kampeni za Ubunge Jimbo la Kalenga-CCM.
Katika Siku zote za Kampeni akina Baba na Akina-mama Wamekuwa Wakijitokeza Barabarani kwaajili ya Kuishangilia CCM na Kuonesha Ishara ya Dole kwamba Mambo Safi kwa Chama Cha Mapinduzi.
Mambo ya CCM Kalenga hayo.
CCM ipo mioyoni Mwetu
Ilikuwa ni Kila Mtu anakimbilia Barabarani Kuishangilia CCM.Bibi ambaye Jina halikufahamika akiwa na Wajukuu Zake wakishangilia CCM.
CCM Kwa Raha Zetu
CCM hakuna Kulala Kalenga.
Wananchi wa Kalenga wakionesha Ishara ya Dole Gumba kwamba CCM Yatosha.
Watoto Pia Wanasema CCM Yatosha,Hapa wamesikia CCM wanapita Wakakimbilia Barabarani.
Ni CCM tu Kwa Walakalenga,Ilani ya Chama Cha Mapinduzi imetekelezwa Vizuri hapa Kalenga./
Katibu Mkuu CCM-Mh.Kinana akizungumza na Kijana Wa Kata ya Nzihi hii leo wakati anaelekea Kufunga Kampeni za Ubunge Jimbo la Kalenga.
Katika Vijiji Vyote 89 ndani ya Jimbo la Kalenga,Mapokezi ya Mgombea wa Chama Cha mapinduzi yalikuwa hivi.Hii Picha ni leo wakati wa Kufunga Kampeni,Lakini Kuanzia Kufungua hadi Kufunga Wanakalenga Wamekuwa na Mapenzi ya dhati kwa Kijana Wao na Wamejitokeza kwa Wingi sana kwenye Mikutano yote Vijijini.
Uchaguzi wa Jimbo la Kalenga Unafanyika Tar.16/03/2014 na Vyama vilivyosimamisha Wagombea ni CCM,CHADEMA na CHAUSTA.
Picha na Sanga Festo wa Habari Kwanza Media/Blog