Video: Hivi ndivyo wachezaji wa Chelsea walivyoicheza ‘TUPOGO’
Mchezaji
wa timu ya vijana wa Chelsea, mtanzania Adam Nditi amempa shavu
mwanamuziki Ommy Dimpoz baada ya kuwafundisha wachezaji wenzie kuucheza
wimbo wa ‘TUPOGO’ kisha akawarekodi video na kuitupia kwenye mtandao wa
Instagram. Tazama video inayowaonyesha wachezaji hao wakicheza Tupogo.
Kuingalia Video Bofya hapa>>TUPOGO
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako