A

A

Uhaini Kwa Taifa na Serikali,Hawa Ndio Waandishi Watatu Wanaotajwa Kutoa Siri za Rais Kikwete Kwa Paul Kagame...Hatari

Waandishi 3 washirikiana na majirani kumtusi Rais Kikwete

Waandishi wa habari watatu nchini, wametajwa kuwa vinara wa utoaji taarifa za kumkashifu rais Jakaya Kikwete kwa serikali ya Rwanda.

Taarifa zinasema waandishi hao wawili wanafanyakazi katika vyombo vya habari binafsi na mwingine yuko Ikulu ya Rais Jakaya Kikwete.
Pia nimeipata hapa:WAVUTI
“Nakuambia hivi kijana wangu, wanaosaidia... kumtukana rais Kikwete, wako humuhumu ndani ya nchi. Kundi ni kubwa mno; lakini ndani yake kuna waandishi wa habari watatu wandamizi nchini,” ameeleza kiongozi mmoja serikalini.   Bofya hapa kuendelea kuisoma kwenye MwanahalisiForum