Tazama Yanga walivyokosa penati vs Azam FC March 19 2014
Ni
game ambayo mwisho wa mchezo iliishia 1-1 Uwanja wa taifa Dar es salaam
March 19 2014 ikiwa ni ligi kuu ya Vodacom ambapo kwenye page ya
Youtube ya Vodacom Tanzania ndio kumewekwa hii video.