A

A

Diamond Platnum anasema Kabla hujalala hakikisha Umeyafanya Mambo haya hapa


Kabla siku haijaisha ni vyema tukijiuliza vitu hivi vya msingi..
Kwanza ume-experience nini baada ya kufanya moja yalist niliyokupa asubuhi?
1:ni kipi kipya chenye manufaa umejifunza leo?
2:ni wangapi umewafanya watabasamu leo/umekuwa kikwazo kwa wangapi?
3:Ni wangapi umewapenda leo(upendo wa kawaida siyo ki-girlfriend na kiboyfriend)
4:Umeongeza hatua ngapi za mafanikio/umepunguza hatua ngapi za
mafanikio na utafanya nini kesho kuzirudisha hizo hatua?
5:Ni lipi umefanya leo na watu/mtu amekuwa proud of you
6:Ulipata mda wa kuspend na Mungu wako japo kwa dakika?
.7:Umetengeneza marafiki wapya wangapi??
.kuna mengi ya kujiuliza na yote ni kujikiumbusha kuwa watu bora kila siku...zingatia tu..kila siku Kabla siku haijaisha MAKE SURE UMEKUWA BETTER PERSON KULIKO ULIVYOAMKA..Jion njema
NB:I CAN SEE BAADHI WANATOA STORIES ZA MATOKEA YA WALICHOKIFANYA LEO,C VIBAYA NA WEWE UKISHARE NASI FEEDBACK/STORY YA MATOKEO YA ULICHOKIFANYA KATIKA YALE TUMESHAURIANA ASUBUH