Mwanafunzi wa Chuo
Kikuu Dodoma – UDOM aliyekuwa anafahamika kwa jina la Godlove Benjamin,
Mwaka wa Tatu aliyekuwa anasoma shahada ya Utawala wa Biashara(BBA)
Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Social Science) amefariki dunia siku ya
Ijumaa wiki iliyopita jijini Dar es Salaam wakati akiwa likizo ya wiki
mbili na mwili wake umesafirishwa kwa ajili ya mazishi, ambapo anazikwa
leo siku ya Alhamis nyumbani kwao mkoani Mara. Sababu ya kifo chake
aliugua ghafla ugonjwa wa homa ya matumbo (Typhoid).
MUNGU ILAZE ROHO YA MAREHEMU GODLOVE BENJAMIN MAHALI PEMA PEPONI
AMINA
