![]() |
| Rais Kikwete |
Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi.
Pichani ni anaonekana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ametulia ndani ya ndege akisafiri
kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma huku akiifanyia kazi hotuba yake
ambayo ataitoa katika Kikao cha Bunge Maalum la Katiba, Ijumaa, Machi
21, 2014.
Rais Kikwete amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge Maalum la Katiba kwa mujibu wa Kanuni 7(1)g na Kanuni 75(1) la ya Kanuni za Bunge Maalum.
Picha, maelezo: Ikulu.
Rais Kikwete amealikwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia Bunge Maalum la Katiba kwa mujibu wa Kanuni 7(1)g na Kanuni 75(1) la ya Kanuni za Bunge Maalum.
Picha, maelezo: Ikulu.