A

A

Picha za majengo yaliyoporomoka New York

ff 
Majengo mawili yameporomoka New York Marekani ambapo mpaka sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na wengine kutoonekana huku 18 wakijeruhiwa na
wanne wakikimbizwa hospitali.
Chanzo cha majengo hayo kuporomoka ni mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi ambapo askari wa zimamoto wakiwa na vifaa vya kisasa wako kwenye eneo la tukio kuendelea kuzima moto.
Capture
ssdd
effs
1
2
3
4


No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako