A

A

Nimeamkia Arusha Asubuhi hii,Tazama Picha hizi Jiji lilivyojengeka hapa Arusha

Arusha ni Moja ya Jiji linalokua kwa Kasi sana,Shughuli za Kiuchumi hasa Utalii umepelekea Jiji hili kuwa na Mwonekano Mzuri sana na hata Arusha ikaitwa Geneva Of Africa.Uswahilini pia kupo hapa Arusha.
Picha na Sanga Festo wa Habari kwanza blog/Media

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako