Mwenyekiti Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe
(CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa
akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo.
Mbunge
wa hadema anayedaiwa kupigwa na vijana ambao bado hawajajulikana jana
ila habari zinasema ni vijana wa ccm baada ya kumtuhumu anatoa rushwa..