Hivi karibuni, mmoja wa waasisi wa hip hop nchini Kenya, Nazizi,
alithibitisha kuwa ameachana ma mume wake kutoka Tanzania, Vinny, na
wapo katika harakati za kupeana talaka
Naziz na Vinny wana mtoto mmoja wa kiume.
Msanii huyo, ambaye ni member wa kundi la hip hop la Necessary Noize,
amekufa kimapenzi na Mtanzania mwingine tena, producer Herry Sappy,
anayefanya shughuli zake za kimuziki kwenye studio ya Home Boyz
Productions ya Kenya.
Kwa mujibu wa bongo5.com, Nazizi amethibitisha kuwa na uhusiano na
Herry Sappy tangu Valentine’s Day, Februari 14, na uhusiano wao ni wa
dhati
Chini hapa ni picha za wapendanao hao, pamoja na moto wa Nazizi na aliyekuwa mume wake.