EATV wamepost ujumbe ufuatao kwenye Facebook page yao, kuwafahamisha
mashabiki kuwa wameshindwa kuwa na Agnes kwenye kipindi hicho:
“TAARIFA: Kwa wapenzi wa Kikaangoni Live ambao walikuwa wakimsubiri
Agness Masogange kwa hamu, tunapenda kuwataarifu kuwa hatutaweza kuwa
naye tena kwenye CHAT leo kama ilivyotangazwa hapo awali, kutokana na
Agness kutofika kwa wakati uliopangwa.
Wabongo tena kama unavyowajua, wanavyopenda fursa ya
kuwachana mastaa
wao, hawakukawia kuanza kumshukia mrembo huyo. Cheki screenshot hapa
chini kwa baadhi ya waliyoandika:
Hizo ni baadhi tu ya comments kwenye post hiyo, ambayo kwa sasa
tayari in zaidi ya comments 500! Kwa post hiyo na comments zaidi hapa: TAARIFA: Kwa wapenzi wa Kikaangoni Live