Mvua zinazoendelea kunyesha Dar,huyu ndiye msanii aliyepata madhara ya kubomoka nyumba yake
Mvua
ambazo bado zinaendelea kunyesha jijini Dar na sehemu zingine na nchi
ya Tanzania zimeonekana kuleta madhara hasa kwa wakazi ambao wanaishi
kwenye makazi yenye mkondo wa maji,moja kati ya wasanii wanaotoka kwenye
kwenye familia ya Bongo fleva ambaye aliwahi kufanya taarabu amekutwa
na tatizo hili nae ni Babu Ayoub.
Bonyeza play kusikiliza.