A

A

Mvua zinaoendelea Kunyesha Jijini Dsm,Posta Mpya hali ipo hivi muda huu

Abiria Wakigombania Kupanda kwenye Daladala Jioni hii Posta Mpya,magari niyashida sana Kutokana na Mvua ZInazoendelea Jijini Dsm,Hivyo Magari mengi yanakwama kwenye Foleni.
 Posta Mpya barabara ya Kuelekea Exim Tower na Wizara ya Mambo ya Ndani
Maeneo ya Kituo Cha Mafuta "TOTAL" mtaa wa Azikiwe Posta Mpya,Mvua zinazoendelea Kunyesha Jijini Dsm na Miundombinu ya Maji taka kuwa Mibovu hali ya Sasa ipo hivi.
Picha na Habari Kwanza Blog.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako