A

A

Mrembo Bongo Movie aamua kuanika Nusu ya Mwili wake.Majanga

MSANII wa filamu za kibongo, Rachel Haule ‘Recho’ hivi
karibuni aligeuka kituko baada ya kutupia picha ya nusu
utupu katika mtandao wa kijamii.
Picha hiyo ambayo Recho amevaa shati tupu (inayoonesha
ndani) bila kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia kwenye
mtandao wa kijamii wa Instagram ambapo mashabiki na
marafiki zake walichangia huku wakimlaumu kuwa

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako