Ommy Dimpoz amerudi Tanzania March 10 2014 saa tano usiku ambapo AyoTV na millardayo.com ziliweza kumnasa baada ya kushuka.
Amethibitisha ni kweli amefanya video yake mpya London ambapo
aliehusika kama
Director ni mshkaji ambae amefanya video kadhaa za
wakubwa wa Afrika kama Azonto ya FUSE ODG, video za caro ya Wizkid na
Davido ‘skelewu’
Hizi zinazofata hapa chini ni baadhi ya pichaz tu za utengenezwaji wa video hii mpya ya Ommy Dimpoz huko London.
Huyu
hapa chini ndio Director mwenyewe anaitwa Moe Musa Mwingereza mwenye
asili ya Nigeria ambae unaambiwa gharama ya video anazozifanya ni
kuanzia dola za kimarekani elfu 20 na kuendelea, kwa haraka haraka ni
zaidi ya milioni 30.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako