Mwanamuziki staa wa bongo fleva Rehema Chalamila a.k.a Ray C amepoteakatika
anga ya muziki kwa kipindi kirefu kutokana na matatizo ya matumizi ya
madawa ya kulevya na baada ya kupata tiba sasa mambo yanaonekana kurudi
katika hali yake ya kawaida.
Pamoja
na ukimya wake katika muziki, Ray C a.k.a kiuno bila mfupa sasa
anaonekana kuwa active zaidi katika mitandao ya kijamii hususan
Instagram.
Ray
C ameshare baadhi ya picha na fans wake kupitia instagram ambazo kwa
namna moja au nyingine zinaongea zenyewe (kwa kusindikizwa na captions)
juu ya maisha yake ya sasa.
Kwa ufupi ni kuwa Rehema anakula bata tu sasa hivi, thanks kwa shavu alilopewa na Rais Jakaya Kikwete ambaye anamuita ‘Daddy’.
Take a look more pics inside….