A

A

Hii ndio Siri ya Mapaja ya Linah na namna anavyochizika na Paja lake

AISEEE! Ndege mnana kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Esterlina Sanga ‘Linah’ amefunguka kuwa katika mwili wake hakuna kitu anachokipenda kama miguu yake hususan katika sehemu ya upaja.
 
Akizungumza na Global TV Online, Linah alisema kwa kuwa anapenda sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri.
“Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah