A

A

Baada ya Kupondwa sana Lulu Kuhusu Picha hii,Yeye Asema ni Maarufu kwa matukio Yanayozua Gumzo,La kanumba au?


Baada ya mashabiki kumjia juu Mwanadada Lulu Michael juu ya ku copy na ku paste pozi la mwanamuziki Rihanna, naye Lulu hakuwa nyuma aliamua kujibu mashambulizi hayo.