A

A

Baada ya kugundua Mauno ndiyo yamemponza,hii ni kauli mpya ya Snura.


DSC_0006 

Baada ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za Ktma 2013/2014 Snura ame-amplify taarifa mpya hizi zinahusu kile ambacho kilionekana kusababisha video yake kufungiwa na
kutolewa kwenye mashindao ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards.
DSC_0001 
Snura amesema>>’Snura mpya ataonekana kwenye video ya Ushaharibu na itapendwa sana video hio,nimekatika kidogo ila hakuna mauno kama kwenye Nimevurugwa’.
Pia Snura kaomba radhi kwa shabiki watakaokosa  mauno yake kwenye video zijazo na kusema atakayetaka kuona mauno hayo atayakuta kwenye show anazofanya.
Source:hyperhk.blogspot.com