Roma
ni miongoni mwa wasanii ambao wanatoa nyimbo chache sana kwa mwaka mzima
au pengine katika mwaka mzima akatoa wimbo mmoja tu,kumbukumbu ya wimbo
wa mwisho kuuachia ulikua unaitwa 2030 ambao ulitoka mwishoni mwa mwaka
2012.
Huu ni
ujio wake mpya ambao umekuja na wimbo mpya ambao ameupa jina la
KKK,kirefu na maana halisi amesema atakuja kuelezea siku ya kuuachia
wimbo rasmi tarehe 10 March 2014 ambayo ni Jumatatu ijayo,hiki ni
kipande anachoelezea kwa ufupi.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako