Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba akijiandaa
kuwasilisha rasimu ya Katiba Mpya. Hata hivyo zoezi hilo liliahirishwa
hadi kesho wakati baadhi ya wajumbe waliposimama na kutaka baadhi ya
kanuni walizojiwekea zifuatwe, baada ya kuonekana hazikufuatwa.
Muafaka
ulifikiwa baadaye na rasimu hiyo itawasilishwa kesho kwa Jaji Warioba
kufanya hivyo kwa masaa manne badala ya moja ama mawili yaliyopendekezwa
awali.
Picha na Deusdedit Moshi
wa Globu ya Jamii, Dodoma
wa Globu ya Jamii, Dodoma