A

A

Video,Mvua zafunga Barabara kwa Muda Morogoro-Dodoma

Mvua kubwa zinazonyesha katika milima ya Kilosa na Gairo mkoani Morogoro zimesababisha kujaa kwa udongo na mawe na kufunga barabara kuu ya Morogoro Dodoma na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano kwa zaidi ya masaa saba katika eneo la mtumbatu katikati ya wilaya ya Kilosa na Gairo.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako