A

A

Picha za Ommy Dimpozi Alichokifanya London katika Usiku wa Wapendanao, Zote ziko Hapa Ziangalie Na Salama Pia Yumo

\
Ilikuwa weekend iliyojaa furaha na upendo kati ya wale wapendanao wakiendelea kutabasamu na kusamabaza upendo…Nchini Uingereza, mjini London, Ommy Dimpoz mzee wa Poz kwa Poz alipiga show kali na nzuri, Jumamosi ya Februari 15, ndani ya ukumbi wa The Ville ambapo wapenzi wa burudani walijumuika pamoja katika kufurahia msimu huu wa sikukuu ya wapendanao (Valentine’s Day)

Valentine Love Zone, Live in London ilikuwa hosted na Salama Jabir, na mambo hivi ndiyo yalivyokuwa…







No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako