Usiku wa Wajanja wa Valentine Hapa Bongo hii leo Upo Hapa>>>
Moja ya tangazo la Lady In Red Usiku wa Leo hapa Serena Hotele Kwenye Anniversary ya Miaka 10 ya Lady In Red Fashion.
Moja ya Wadhamini wa kazi ya Leo ya Kuadhimisha Miaka 10 ya "LADY IN RED". hapa Serna Hotel Jijini Dsm.
Unavyoingia Eneo la shughuli kuna Swimming Pool ya Kisasa,Karibu sana Serena Hotel hii leo kwenye 10th ANNIVESARY ya "LADY In Red" Fashion.
Eneo la tukio hapa Serena Hotel USiku wa Leo,Usiku wa Valentine wajanja wote Tunakutana hapa.
Mama wa Kazi na Mwenye shughuli Mwenyewe Asya Idarous Khamis akihakikisha eneo la kazi linapambika Vya Kutosha ili Usiku wa Leo Wajanja wote wapate Burudani ya Kutosha.
Kazi imepamba Moto.
KARIBUNI SANA USIKU HUU WA VALENTINE WTU WOTE HAPA BONGO TUNAJUMUIKA KWENYE MIAKA 10 YA "LADY IN RED FASHION" HAPA SERENA HOTEL.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako