A

A

Hivi Ndivyo Jiji la Dsm Lilivyojengeka Kwa sasa,UVCCM na Kitega Uchumi cha Maana.

Kwa Waliofika Dsm,Hujafika hapa,Hujafika Dsm.
 Vikwangua Anga Vya Jiji la Dsm,Hiki kirefu sana chini yake ndio Kuna Club Billicunas Jijini Dsm.
Posta Mpya hiyooooooo Dsm City Centre.
 Utaipenda Dsm,Jiji Dsm.
Hapa ni Fire njia Panda Kariakoo,Hiki ni Kitegauchumi cha Umoja wa Vijana wa CCM(UVCCM),Chini ya Jengo hili kuna Ofisi za UVCCM Taifa.
 Moja ya Kituo cha Mabasi yaendayo Kasi Jijini Dsm,Hiki ni Kituo cha Akiba,Opposite na Chuo Cha DIT.
Picha Zote na Camera ya Habari Kwanza Media

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako