Mshambuliaji wa klabu ya Yanga Mrisho Ngassa juzi alifanya
kitu
ambacho wapenzi wengi wa klabu yake ya Yanga wanaweza kuwa hawajawahi
kukifikiria kama angekifanya – hii ilikuwa baada ya kutumia akaunti yake
ya mtandao wa kijamii wa Twitter kutoa sifa kwa mshambuliaji wa
kimataifa wa mahasimu wao klabu ya Simba – Amis Tambwe.BOFYA HAPA
Ngassa aliandika

No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako