A

A

Umesikia hii ya Makondakta Huko Kenya Kuogeshwa?Ni wale wanaonuka Kupindukia kwenye Matatu.


Hii unaambiwa imetokea Kisumu Ndogo, Donholm nchini Kenya Ijumaa iliyopita. Makonda hao walilazimishwa kuoga hadharani kwa kinachaodaiwa wananuka. Wateja wamekuwa wakilalamika kwamba makonda hawa wananuka na hivyo kuathiri biashara. Makonda hao waliogeshwa huku wadau wakishushudia na kuhakishiwa usafi kwa makonda itakuwa ni swala la lazima

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako