
Hapa ni Moroco Makutano ya Barabara kutoka Mwenge to Kinondoni,Hili ni Jengo linalopamba Muji wa Dsm Mitaa hii ya Kinondoni,Jengo la AIRTEL.
Mitaa ya Victoria Mwenge.
Jengo hili lipo pembezoni na Millenium Tower Kijitonyama.Waliofika Dsm Ukipita hapa Hukosi kuliona Jengo hili.
Millenium Tower imeboreshwa Kwa sasa,Kikwangua Anga chake kinavutia sana na Kinapamba Mitaa hii ya Kijitonyama.
Picha Zote na Habari Kwanza Blog
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako