Na Waandishi wetu
KESI
inayomkabili staa wa sinema za Kibongo Elizabeth Michael ‘Lulu’ dhidi ya
msanii mwenzake marehemu Steven Kanumba imeunguruma leo katika Mahakama
Kuu Kanda ya Dar es Salaam huku mtuhumiwa akikiri baadhi ya mashtaka.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi hapo watakapojulishwa na mahakama tarehe ya kusomwa kwa shitaka lake la kuua bila kukusudia.
Habari kamili kuhusu kesi hiyo Soma Gazeti la Risasi Jumatano.
(Imeandikwa na Jelard Lucas, Haruni Sanchawa / GPL)
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako