Mkuu
wa Mawasilano Promosheni na Uhamasishaji wa Mfuko wa Uthibiti wa Mfuko
Hifadhi Nchini (SSRA), akiwaelezea wasanii kuhusiana na
mifuko mbalimbali ya hifadhi ya jamii kama NSSF,PSPF ,LAPF,GEPF,PPF,NHIF juu ya faida pale wapofikia muda wakustaafu kazi kisanii au kupatwa na matatizo mbalimbali (katika), Mwanasheria COSOTA Bw,Zephania Lyamuya (kusho), Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.

Afsa
Mwandamizi wa Huduma kwa Mlipa Kodi TRA, Msafi Mbibo akiwaelezea
wasanii mwongozo wa utumiaji mashine maalumu za kodi za kielekitroniki
(EFDs), wakati wa semina ya hatimiki kwa sanii mbalimbali wa bongo movie
pamoja na muziki, 
Kaimu Afsa Kumbumbuku COSOTA Bw Philemon Kilaka.akiwaezea wasanii jinsi hakimiliki na mikataba katika kazi za sanaa. 
Afsa
wa Mfuko wa Penseni (PSPF), Haji Jamadary nae akiwaelezea wasanii
kuhusiana na uchangiaji katika mpango wa hiyari wakati wa kutegemea
upatikanaji wa kipato cha ziada kwa ajiliya akiba. 
Mwenyeki
wa Bongo Movie, Steven Mengeze akiwasisitiza wasanii wenzake kuhudhuria
kwenye semina pamoja na kujiunga na mifuko ya hifadhi ya jamii na
namna ya kufuatilia upatikanaji wa haki za kazi zao za sanaa.
Wasanii mbalimbali wakifuatilia kwa umakini mada mbalimbali wakati wa semina hiyo. 
Msanii Aliy Mango akionesha umahiri wake wakucheza na nyoka wakati wa semina hiyo.
Msanii Aliy Mango akionesha umahiri wake wakucheza na nyoka wakati wa semina hiyo.
PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE DAR ES SALAAM
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako