Mchezaji wa Kimataifa Emmanuel Okwi amesimamishwa kucheza Soka kwa Muda Kutokana na matatizo ya Uhamisho wake kutoka Simba kwenda Tunisia,Pia Kutoka Tunisia kuja yanga.Hivyo TFF ipo kwenye utaratibu wa Kuhakikisha Mchezaji huyo anapata haki zake na anarejea kwenye Soka kama kawaida yake.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako