Matokeo ya uchaguzi mdogo wa Madiwani uliofanyika Jumapili, tarehe 9
Februari 2014 katika Kata 27 yaliyotangazwa kutoka kwenye vituo
mbalimbali vya kupigia kura, yameripoti ushindi wa Kata kwa mgaganyo wa
wingi wa kura kwa vyama kama ifuatavyo:-
CCM: Ubwage Shinyanga; Namikage Lindi; Kiomoni Tanga, lbumu Iringa, Mtae Tanga, Partimbo Arusha,
Mkwiti Mtwara, Nduli lringa, Nyasura Mara, Tungi Morogoro, Mrijo Dodoma, Malindo Mbeya, Santillya Mbeya, Kiwalala Lindi, Ludewa Morogoro, Magomeni Bagamoyo na Kibindu Bagamoyo.
CHADEMA: Njombe Njombe, Kiborloni Kilimanjaro na Sombetini Arusha.
NCCR-Mageuzi: Kilelema Kigoma.

Idadi ya kura zilizoripotiwa kwa baadhi ya Kata ni :
- Kibindu CCM 1682 (76%) na CHADEMA 548 (25%).
- Magomeni CCM 1,183, CUF 708 na CHADEMA 357.
- Nachingwea ADC 9, CUF 110, CHADEMA 188 na CCM 517.
- Kondoa CCM 1,296, CUF 935, CHADEMA 29 na NCCR-Mageuzi 34.
- Sombetini CHADEMA 2,548 na CCM 2,077.
- Santilya CCM 1,650 na CHADEMA 1,154.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako