Diva katika mahusiano na mkogwe huyu wa bongofleva
Mtangazaji wa clouds Fm , Loveness Malinzi ‘Diva’
ametangaza uhusiano wake na nguli wa mziki wa bongofleva, King Crazy GK.
Diva ameamua kuweka wazi couple hii kupitia mtandao wa kijamii wa
instagram baada ya kuweka picha yake na GK huku akishushia na maneno
kadhaa ya kumpamba .
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako