A

A

Kwa yeyote aliyefika Dodoma,hapa ndio Sehemu ya Kupumzika na Kuondoa Stress ya Bureeee

 
Sanamu ya Mwl.Baba wa Taifa Hayati Julius Kambarage Nyerere.
 Mnara wa Sanamu ya Baba wa Taifa,Hayati Julius Kambarage Nyerere hapa Dodoma "Nyerere Square"
Sehemu Maalum za Kupumzika kwa mtu yeyote na ni Bure.
 Nyerere Square ni Eneo linalopatikana Katikati ya Mji wa Dodoma,Limezungushiwa uzio mzuri na kupandwa Garden Maalumu na Parking kwaajili ya Watu mbalimbali Kupumzika eneo hilo baada ya Mizunguko yao.Pia Eneo hilo kuna Sanamu maalumu ya Hayati Baba wa Taifa ndio ikapelekea Kuitwa Nyerere Square.
Hujafika Dodoma,Hujafika Nyerere Square.
Habari kwanza Blog

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako