Jina lake kamili ni Dapo Daniel Oyebanjo mshindi wa tuzo za MTV,BET na nyingine nyingi.
D Banj ameshawai kuja Tanzania miaka iliyopita na hivi sasa ametoa audio na video mpya kwa pamoja.
Kama unamkubali D Banj na kazi zake basi hii ni mpya na inaitwa “Bother You”
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako