Exclusive:Hii ni zawadi ya Valentine kutoka kwa Belle 9.
Kama
ni miongoni mwa mashabiki wanaomfatilia Belle 9 kutoka
Morogoro,hii ameitoa maalum kwa ajili yako wewe shabiki wake,ni wimbo
aliufanya miaka michache iliyopita na ndani ya
wimbo huu kashirikishwa
Baby Madaha ilifanywa pale BHITS chini ya Pancho Latino,Belle anadai huu
wimbo ulifanywa kabla ya Nilipe Nisepe.
Bonyeza play kusikiliza.
Credit to Millardayo
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako