Hii ndio Zawadi ya Nay Wa Mitego Kwa Mpenzi Wake "WEMALICIOUS"
Kupitia
instagram Ney wa mitego amepost picha ya gari alilomnunulia mpenzi wake
na kuandika maneno haya.Zic iz 4u bby…zawadi yako my superwomen…chama
kubwa 966 Mwezi wa 7 ntakununulia prado sawa?! Hahaha kaa Umooooo
@truegal966
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako