A

A

Exclussive Hii; Kama wewe shabiki wa Nick Minaj angalia picha hizi utaona kipya toka kwake

Exclussive Hii; Kama wewe shabiki wa Nick Minaj angalia picha hizi utaona kipya toka kwake


Unaambiwa Nicki Minaj anajipanga kuja na muonekano mpya pamoja akijiandaa na kutoka na albu
Unaambiwa Nicki Minaj anajipanga kuja na muonekano mpya pamoja akijiandaa na kutoka na album au mixtape.
Mara nyingi picha zinazotoka kwenye media zinazomuonyesha Nicki Minaj akiwa na muonekano wa Barbie kama kawaida yake.
Lakini hizi picha alizozitoa mwenyewe
ameonekana kuwa na nywele zake mwenyewe bila vitu vingine anavyojitupiaga.
Enjoy kuziangalia hizo picha hapa.







No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako