Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Viongozi alipowasili viwanja vya Ukumbi wa Salama
Bwawani Hotel leo asubuhi katika ufunguzi wa Maabara za Utalii,Mazingira
Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali fedha.[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.] 
Baadhi
ya watendaji wa Serikali wakiwa katika mkutano wa ufunguzi wa Maabara
za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na upatikanaji wa Rasilimali
fedha,uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Baadhi
ya watendaji na Maafisa mbali mbali wa Serikali wakiwa katika mkutano
wa ufunguzi wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara na
upatikanaji wa Rasilimali fedha,uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.] 
Wajumbe
wa mkutano wa ufunguzi wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya Biashara
na Upatikanaji wa Rasilimali fedha,wakimsikiliza Katibu Mtendaji wa Tume
ya Mipango Bi Amina alipotoa maelezo machache kuhusu maabara katika
Ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar leo,ambapo mgeni rasmi
katika mkutano huo alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein . [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akifungua Mkutano wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya
Biashara na Upatikanaji wa Rasilimali fedha,katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja leo,(kulia) Waziri,Ofisi ya Rais na Utawala
Bora,DK.Mwinyihaji Makame Mwadini na Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid
Yahya Mzee,(kshoto). [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akifungua Mkutano wa Maabara za Utalii,Mazingira Bora ya
Biashara na Upatikanaji wa Rasilimali fedha,katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako