Treni ya Mwakyembe inayofanya Shughuli zake Kutoka Ubungo hadi Posta ikiwa njiani Kuelekea Posta kupeleka Abiria.Picha hiii imenaswa mitaa ya Tabata Relini(Mwananchi).
Buguruni kwa Mnyamani Asubuhi ya Leo 13/02/2014,haya ni Mabwawa ya Maji Machafu yanayotoka Viwandani na kwenye Makazi ya Watu.
Camera ya Habari Kwanza Blog imepita Buguruni asubuhi hii karibu na Tazara,Foleni ya Magari ipo japo sio Kubwa.Mvua inanyesha rasharasha tu.
Uswahilini Kwetu pia Camera ya Habari kwanza Blog imepita kuwajulia hali,Mvua iliyonyesha Usiku wa leo imeharibu mambo.Ilala karume kwa Mbali inaonekana na Majengo yaliyopanda ni Machinga Complex
Kariakoo inaoenakan kwa Mbali ukitokea Ilala
Treni ya Mwakyembe inaingia kwenye Stesheni Kongwe iliyokaribu kabisa na Jiji la Dsm,Huku ni Ndani kwenye Karakana ya Treni.
Picha zote ni Mali ya Habari Kwanza Blog zimepigwa na Sanga FR
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako