Baada ya ukimya wa kutosikika Redioni, Dina Marios amepost hii picha
Ni
muda kidogo mtangazaji Dina Marious hajasikika kwenye Leo Tena ya
Clouds FM ambayo amekua akiifanya, kama hukuwahi kupata jibu ni kwamba
alikua mjamzito ambapo kwa sasa ameshajifungua na kushea hiyo picha ya
mtoto wao, yeye na mtangazaji mwenzie Reuben Ndege maarufu Nchakalih.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako