A

A

(video Mbwa atumia maarifa kupanda kiti, kaunta, fungua oven na kukwapua kuku

Wenye nyumba waliweka kuku kwenye oven na kumwacha mbwa wao, wakaendelea na shughuli zao, huku wakiiacha kamera ikiwa imeelekezwa jikoni kurekodi matukio.

Baadaye waliweka video hii YouTube kuonesha alichofanya mbwa wao...

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako