A

A

Umesikia Kujiuzulu kwa Meya Bukoba?Video ya Tukio zima hii hapa kuhusu Ripoti ya CAG

m
Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk Anatory Amani amejiuzulu wadhifa wake leo baada ya ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, (CAG) iliyosomwa kwenye Ukumbi wa Bukoba Town Council kuelekeza tuhuma zote za matumizi mabaya ya madaraka zinazoelekea kwenye ubadhirifu kuthibitika.

Vile vile, pamoja na viongozi wengine kuvuliwa nyadhifa zao kwa mujibu wa agizo la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kama lilivyosomwa na Naibu Waziri, TAMISEMI, Aggrey Mwanri, dola imeagizwa ichukue hatua za kisheria dhidi ya wahusika waliopoteza nyadhifa zao leo kwa makosa na hasara waliyosababisha.
 

Shukurani ya video kwa blogu ya BukobaWadau.

No comments:

Post a Comment

Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako