TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amemteua Mhandisi Paul Mhangilwa Masanja kuwa Kamishna wa Madini nchini.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue
mjini Dar Es salaam leo, Ijumaa, Januari 17, 2014, imesema kuwa uteuzi
huo wa Bwana Masanja ulianza jana, Januari 16, 2014. Taarifa hiyo
imesema kuwa kabla ya uteuzi wake, Mhandisi Masanja alikuwa Mtendaji
Mkuu wa Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA).
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
17 Januari, 2014
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
17 Januari, 2014
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako