Balozi
mpya wa Tanzania nchini Malaysia Dkt.Aziz Ponary Mlima akila kiapo
mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Kamishna
wa Tume ya usuluhishi na uamuzi Bwana Jafari Omari akila kiapo mbele ya
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wateule
aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Kushoto ni Kamishna
wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bwana Jafari Omari na kulia ni Balozi
mpya wa Tanzania nchini Malaysia Dkt.Aziz Ponary Mlima .Picha na Freddy Maro wa Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Toa maoni yako lakini angalia kuchafua hali ya hewa na usimuumize mwenzako